ABOUT JV LOGISTICS CO. LTD

JV Logistics Company Limited was conceived since 2010 in Dar es Salaam. It is a privately owned company with its scope in transportation of aggregates and machinery hiring. The company is committed to customer satisfaction, individuality and team work. We are confident of our collective skill and meet challenges with innovative solution.

Professional expertise, experience in both local, international market and sources gave us competitive edge in terms of price, quality and delivery time.

Jumatatu, 17 Juni 2013

SINTAH MBWATUKIA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUMTUKANA MAREHEMU ALBERT MAGWEA....SOMA ALICHOKISEMA HAPA..!

Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake:
Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake:

MDOMO UMEMPONZA HUYU KIJANA
"Daaah masikini akipata matako hulia mbwata, yaani nimesikitishwa na habari ya Ommy Dimpoz na kauli yake aliyotoa kwenye umma, hivi wewe Dimpozi unajua nini cha kuongea ktk public?? SMH usipende kuropoka ropoka tu hata kama wewe ukifa tutajuaje kwenye bank yako kuna kiasi gani acha kuongea
Bofya hapa kusoma zaidi: http://vitukovyamtaa.blogspot.com/2013/06/sintah-mbwatukia-ommy-dimpoz-baada-ya.html#ixzz2WTxaWHvj

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...